BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MHESHIMIWA DKT. GEORGE VELLA RAIS WA JAMHURI YA MALTA
Tarehe 9 Machi, 2023, Mheshimiwa Dkt. George Vella, Rais wa Jamhuri ya Malta alipokea Hati za Utambulisho za Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo mwenye makazi yake Roma, Italia.… Read More